Thursday, 8 February 2018

TAARIFA YA KUANZISHWA KWA BLOG YETU PENDWA YA HADITHI NZURI


                                             


Habari yako mpenzi msomaji wa makala mbalimbali hasa zile zilizo kwenye muundo wa hadithi au riwaya. Hadithi nzuri tunayofuraha kukujulisha kuwa kuanzia sasa tutakuwa tukipatikana katika blog yetu hii mpya. Hivyo tunapenda kuwaarika wote mnaopenda hadithi.

               KARIBUNI SANA

No comments:

Post a Comment